Sunday, 24 March 2013
WAKAZI WA ARUSHA SASA KULIPIA MAJI SAFI NA MAJI TAKA KUPITIA M-PESA
Mkuu wa Wilaya ya jiji la arusha, John Mongella,akiongea wakati wa uzinduzi rasmi wa jinsi ya kulipia Ankara ya maji safi kupitia huduma ya M-PESA,kwa wakazi wa mkoa wa jiji la Arusha,kutoka kushoto ni Mwenyekiti kamati ya mawasiliano na ujenzi Zanzibar Bw.Makame Mshimba Mbaruk,Mwenyekiti wa bodi ya (AUWSA) Bw.Felix Mrema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment