Sunday, 24 March 2013

TAIFA STARS YAICHARAZA MOROCCO 3-1

Timu ya Taifa (Taifa stars) leo imewachakaza vibaya  wa morocco mabao 3-1, hii ni katika kinyang´anyiro cha kupata nafasi ya kuingia katika kombe la dunia litakalofanyika huko Brazil mwaka2014. bao  hilo lilifungwa na Mbwana Samatha..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!