Jumla ya miili 18 imepatikana mpaka kufikia mchana wa leo (30/03/13)katika ghorofa lililoanguka jana(29/03/13) katikati ya jiji la Dar Es Salaam.Aidha rais Jakaya Kikwete ametembelea tena eneo hilo leo kujionea kazi ya uokoaji inavyoendelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment