Raisi Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa katika hospitali ya muhimbili wodi ya taasisi ya mifupa (MOI)wakimjulia hali mtoto Mohamed Dawji ambaye ni mmoja wa majeruhi katika ajali ya jengo lililoporomoka ijumaa iliyopita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)















No comments:
Post a Comment