Sunday, 10 March 2013

MWANVITA MAKAMBA NA NENO LA JUMAPILI...


Usiweka matarajio yako kwa binadamu mwingine kama chanzo cha furaha na matumaini yako badala ya kuyaweka kwa Muumba wako. Ukitaka kuwa na huzuni na kukata tamaa mapema mfanye binadamu mwenzako kuwa matarajio ya furaha, amani na mafanikio yako.









No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!