Wednesday 27 March 2013

MTOTO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUSOMBWA NA MAFURIKO YALIYOSABABISHWA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA MJINI MOROGORO.

Mtoto mmoja mchanga mwenye umri wa miezi minne mkazi wa eneo la Area six mjini Morogoro amefariki dunia baada ya kusombwa na maji kufuatia mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa ilioambatana na upepo .

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!