Monday, 11 March 2013

MIAKA MIWILI TANGU JANGA LA FUKUSHIMA JAPAN LITOKEE.


Leo ni miaka miwili tangu kutokea janga la nyuklia la Fukushima nchini Japan mnamo Machi 11, 2011 ambapo takriban watu elfu 20 walipoteza maisha. Siku hii inaadhimishwa kukiwa na watu zaidi ya laki tatu wasio na makazi ya kudumu. sophie mbeyu blog inaungana na watu wote ulimwenguni katika kuikumbuka siku hii....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!