Friday, 8 March 2013

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MRADI WA KISIMA CHA MAJI KATIKA HOSPITALI YA SEKOU TOURE ILIYOPO MJINI MWANZA



Mke wa rais ambaye ni mwenyekiti wa chama cha wanawake nchini(WAMA) amefungua rasmi mradi wa kisima cha maji kilichopo katika hospitali ya sokou toure kilichopo mjini mwanza.kisima hicho kinagharimu sh ml sabini.


habari na picha kwa hisani ya michuzi blog.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!