Tuesday, 26 March 2013

JAMBAZI LAUWAWA KATIKA HARAKATI ZA UPORAJI WA MAGARI HUKO MBEYA

Silaha zilizokamatwa kutoka kwa majambazi hayo ni bunduki aina ya SMG yenye namba AB huku namba nyingine zikiwa zimefutwa na magazine yake ikiwa na risasi ishirini na mbili (22) pamoja na mapanga mawili.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!