Thursday 28 March 2013
BREAKING NEWS. MBUNGE WA CHAMBANI MH SALIM HEMED HAMIS AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU
Aliyekuwa mbunge wa chambani bwana Salim Hemed Hamis amefariki dunia mchana huu,marehemu alianguka ghafla jana wakati akiwa katika vikao vya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, ambapo alikimbizwa katika hospitali ya muhimbili, na hivi punde habari zimetufikia kuwa amefariki dunia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment