- Kuboresha uyeyushwaji wa chakula. Maji ya vuguvugu yakiwekwa limao ,yanasaidia usafishaji wa tumbo
- Kuondoa sumu mwilini kupitia jasho
- Kunywa maji y a moto au uvuguvugu kunasaidia kusafisha pua na koo
- Kuboresha mzunguko wa damu
- Kuongeza kinga mwilini endapo asali na limao vitaongezwa
- Husaidia upatikanaji wa haja kubwa
DOKEZO
Kunywa maji moto
ni muhimu kwa afya.Jenga mazoea ya kunywa maji moto mara tu baada ya kuamka kwa
matokeo mazuri.
Usinywe maji moto
kutoka katika bomba. Chemsha maji na yaache yapoe na kuwa vuguvugu. Unaweza
kuongeza asali au limao au vyote. Mbali na kuongeza ladha, asali na limao vina faida kiafya.













No comments:
Post a Comment