Pages

Products

TUNAPOKEA ODA KWA BIDHAA ZETU ZIFUATAZO TOA ODA YAKO MAPEMA LEO HUJACHELEWA!! | KANYAGIO! UMELIPENDA WASILIANA NA MAMA BLOG KWA MAWASILIANO HAPO JUU!!!






KWA HISANI YA SOPHIE MBEYU BLOG 
CALL NOW AND ORDER!!!!
SIMU NAMBA: 0657615174  NA PIA
  SIMU NAMBA:  0783149561-WATSUP PIA 


********













TUNAPOKEA ODA KWA BIDHAA ZETU ZIFUATAZO

TOA ODA YAKO MAPEMA LEO HUJACHELEWA!!

BOFYA HAPA KWA MAWASILIANO

SIMU NAMBA: 0657615174  NA PIA 
SIMU NAMBA:  0783149561-WATSUP PIA

22 comments:

  1. Habari. Nimependa viatu naomba kujua bei na vinapatikanaje niko Tanzania email yangu ni katemawere@gmail.com

    ReplyDelete
  2. tafadhari wasiliana na mawakala wetu, nimekutumia kwa email yako..
    Asante!na karibu tena!

    ReplyDelete
  3. Habari tafadhali nimependa viatu, email yangu ni temubeatrice@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. tafadhali ninaomba contact nimependa kiatu. email yangu ni temubeatrice@yahoo.com

    ReplyDelete
  5. nimependa hivyo viatu email yangu ni snavoneiwa@yahoo.com bei yake na ninavipataje?

    ReplyDelete
  6. Watu wa viatu tafadharini piga simu namba 0657615174, ili kutoa order yako..
    Asanteni na karibuni sana!

    ReplyDelete
  7. The shoes are fabulous. I live in the United States and would love to have a pair or 2. My email address is afre2w@gmail.com. Please let me know the price and how I could get them. Thank you

    ReplyDelete
  8. Hello
    naomba unitumie picha nyingi zaidi na bei pia kwenye rebbygm24@yahoo.com

    ReplyDelete
  9. Nimevipenda xsana jaman hivo viatu! Naomba kujua mawakala wenu email yamu ni thveara@gmail.com

    ReplyDelete
  10. nimependa bidhaa zenu za viatu naomba kujua bei my Email ndilenisa24@gmail.com

    ReplyDelete
  11. NDILE NISA, nimekutumia email tuwasiliane kwa njia hiyo dear.

    ReplyDelete
  12. Habari za Leo, ninataka hizo sandals pair 2 for my wife.... Hizo zilizo panda juu, mim naishi Mwanza, tafadhali nijulishe ntawezaje kuzinunua this week. Thanks

    ReplyDelete
  13. GODFREY. tafadhari naomba details zilizopanda ziko tofauti, kuna hizi zilizopanda kidogo,na zina shanga , na kuna nyingine zimepanda juu zaidi, na muundo wake tofauti. tafadhari nitumie email sophiembeyu@msn.com
    Ahsante!

    ReplyDelete
  14. nimependa products zenu, nipo mwanza naomba kujua bei na nipavipata vp? my email:edithasylvester@gmail.com. thankx!

    ReplyDelete
  15. Sawa nitakutumia email mpendwa..

    Karibu sana!

    ReplyDelete
  16. Habari za leo, Sofia. yaani leo ndio naona response yako samahani sana. email yangu ni godfreybabu@gmail.com
    nataka hizo zilizo panda sana, zenye shanga za rangi rangi mbalimbali. Nichek kwenye email yangu ili kama uni attachie sample.
    Asante dada yangu

    ReplyDelete
  17. Hakuna shida cheki nakutumia email kwa adress uliyonipa.

    Karibu sana

    ReplyDelete
  18. Nimevipenda hivyo viatu,nitavipata vipi?

    ReplyDelete
  19. Sawa mpendwa Anna naomba tuwasiliane kwa email hii sophiembeyu@msn.com
    uniambie ni viatu vipi katika hivyo umependa na pia saizi na sehemu uliyoko
    ili tujue utakavyotumiwa mzigo wako.
    Asante

    ReplyDelete
  20. madam Soph bado unavyo tu hivyo viatu nataka uniuzie pair zaidi ya 15 vya biashara, niko simiyu, tafadhari nijurishe bei weka sample zote (mchanganyiko)through my email
    2005april11@gmail.com

    ReplyDelete
  21. Raymond naona hatukuwasiliana tena, usisahau kucheki email yako nitakutumia details! Asante

    ReplyDelete
  22. mko poa kama mnavyotuonesha ndo kweli mnatengeneza,,,,nitakutafuta nataka vingi vingi kwa bei ya jumla

    ReplyDelete