Pages

Wednesday, 24 May 2023

Just in...Tiner Turner afariki dunia!

Mwanamuziki maarufu duniani Tina Turner amefariki akiwa na umri wa miaka 83.

Kwa mujibu wa BBC World News Tina Turner ambaye alikuwa akijulikana kama malkia wa rock n roll amefariki nyumbani kwao Uswis baada ya kuugua kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment