Tuesday, 14 March 2023

Tems awekwa upande wa mashabiki tuzo za OSCAR

 Usiku wa kuamkia leo zimefanyika tuzo za filamu za Oscars Awards 2023 ambapo msanii wa Nigeria @temsbaby alikuwa kati ya wageni waalikwa wa tuzo hizo.



Mashabiki wamekasirishwa kwa kitendo cha staa huyo kuwekwa kwa mashabiki na sio upande wa mastaa wengine kilichofanya watu waongee ni kitendo cha vazi la Tems kuonekana likiwasumbua watu wa pembeni.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!