Pages

Monday, 9 January 2023

Amepotea


Ni binti wa miaka 14, anaitwa PRINCESS GEORGE MHINA. Walitokea mbeya 8-1-2023 kuelekea iringa anakosoma akiwa na babu yake, baada kufika makambako kuchimba dawa mtoto hakurudi tena. Ukimwona toa taarifa kituo cha polisi cha karibu au wasiliana na ndugu zake kwa namba hizi +255 755 437 375 au namba +255 755 766 830...

No comments:

Post a Comment