Pages

Sunday, 4 March 2018

Watano Wafariki Basi la New Force Kugongana na Hiace


WATU watano wamefariki dunia leo asubuhi baada ya basi la New Force lilikokuwa linatokea Msamvu kwenda Mikese kugongana na gari dogo la abiria (Hiace) lililokuwa linatokea Msamvu, mkoani Mogororo.


Pia watu kadhaa ambao idadi yao bado haijajulikana, wamejeruhiwa. Mashuhuda wa ajali hiyo wanasema chanzo ni dereva wa gari hilo la Hiace kutaka kulipita gari la mchanga lililokuwa mbele ambapo lilijikuta likigongana uso kwa uso na basi hilo.




No comments:

Post a Comment