Pages

Thursday, 8 March 2018

Wanawake Tunaweza!


Leo ni Siku ya wanawake Duniani,  Lakini jambo la kujiuliza, Je Changamoto zinazowakumba wanawake zimepungua? Je changamoto za uzazi salama ukiachilia mbali wanawake wachache ambao wanamafanikio kitaifa na kimataifa, lakini kwa mwanamke wa kawaida je changamoto bado zinamkumba hasa za uzazi.



Takwimu zinaonesha zaidi wa wanawake wajawazito 24 hufariki dunia kila siku kutokana na matatizo mbalimbali yatokanayo na uzazi, idadi kubwa ya vifo hivyo vinaweza kuzuilika kama tu serikali itaweka vipaumbele katika kuboresha mazingira ya kujifungulia hasa kwa wanawake wa vijijini.

No comments:

Post a Comment