JE WEWE NI MSANII UNAYECHIPUKIA? MTUMIE VIDEO YAKO SALIM KIKEKE UPATE "SHAVU"
Kumbuka kama wewe ni msanii unayechipukia au 'underground', unaweza kunitumia video yako au audio ili kupata 'shavu' Video tuma kwa kutumia wetransfer.com kwa saleem.kikeke@gmail.com Tafadhali share wimbo huu ili kukuza sanaa yetu. Pamoja sana!!
No comments:
Post a Comment