Pages

Tuesday, 5 November 2013

KAMPENI YANGU RASMI KAMA BALOZI WA KAMPENI YA GROW YA OXFAM


KAMA BALOZI WA KAMPENI YA GROW YA OXFAM  SHAMIM MWASHA JANA AMEZINDUA RASMI KAMPENI  YA KUHAMASISHA WANATAALUMA WASHIRIKI KATIKA KUMSAIDIA MWANAMKE MKULIMA ILI AWEZE KUEPUKANA NA UMASKINI,
SHINDANO HILI LITAKUWA LINAKUHITAJI WEWE MDAU KUJAZA FOMU NA UELEZEE VIPI ULIWEZA KUMSAIDIA MKULIMA NA UTUAMBIE NI NINI TUMSAIDIE KUMNUNULIA CHENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI TANO IWAPO ATASHINDA.
ox1ox4ox5
NILIKUWA SAMBAMBA NA MWANAHAMISI SALIM MENEJA WA USHAWISHI NA UENEZI WA HAKI ZA KIUCHUMI WA GROW TANZANIA AMBAYE ANASIMAMIA KAMPENI HII YA GROW
www.millardayo.com, bongo5.com, issamichuzi.blogspot.com, othmanmichuzi.blogspot.com, http://michuzijr.blogspot.com,missiepopular.blogspot.com na blog zaidi ya 10 mikoani zinazomilikiwa na tone media ambazo zinahusika na mikoaya Tanzania

No comments:

Post a Comment