Pages

Monday, 21 October 2013

YALIYOJIRI KWA WATANI WA JADI ..SIMBA, YANGA HAKUNA MBABE!

 

Beki wa Yanga Kelvin Yondani (5) akiwa juu kuzuia mpira pembeni ya Amisi Tambwe wa Simba.
Mrisho Ngassa (kulia) akimtoka beki wa Simba, Joseph Owino.
Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe akiwatoka wachezaji wa Yanga David Luhende (3) na Hamis Kiiza (kulia).
Sehemu ya mashabiki wa Yanga.
Mashabiki wa Simba.
Kikosi cha Simba SC kilichoanza mtanange wa leo.
Kikosi cha Yanga SC kilichoanza kuikabili Simba leo.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)

No comments:

Post a Comment