Pages

Sunday, 20 October 2013

UJUMBE WA LEO .......... HATA KAMA UNACHO MUHESHIMU ANAYETAFUTA...

Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote.
 Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako
 
CREDIT VITUKO VYA MTAA.


No comments:

Post a Comment