Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Pakistan nchini Mhe Tajammul Altaf aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.(PICHA NA IKULU).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Pakistan nchini Mhe Tajammul Altaf aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi
No comments:
Post a Comment