Pages

Thursday, 24 October 2013

MTOTO AMBAYE MAMA YAKE ALIKUWA ANAOMBA MSAADA KWA WASAMALIA WEMA AMEFARIKI DUNIA.

 

Mwajuma Haji enzi za uhai wake.

INAUMA SANA! Yule mtoto ambaye tuliripoti kuwa anaomba msaada kwa wasamalia wema wiki iliyopita, Mwajuma Haji (16), amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.
MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI...

No comments:

Post a Comment