Pages

Tuesday, 22 October 2013

HAWA NDIO VIJANA 11 WALIOKAMATWA MTWARA WAKIFANYA MAZOEZI YA KIVITA WAKIWA NA CD ZA AL QAEDA NA ALSHABAAB




Hawa  ni  vijana  wa  kitanzania 11  ambao  walikamatwa  na  jeshi la polisi   Mtwara baada ya  kupata taarifa kwamba  walikua wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za  Al Qaeda na Al Shabaab ambapo walikamatwa na hizo CD  pamoja  na  silaha   mbalimbali  kama  ushahidi...

Taarifa ya jeshi la Polisi leo  imesema kuwa , vijana  hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.



No comments:

Post a Comment