Pages

Sunday, 20 October 2013

HAKUNA ALIYETOKA KIFUA MBELE KATIKA MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA MATOKEO 3-3 NA MPIRA UMEKWISHAAAAA!



DAKIKA YA 14: SIMBA 0, YANGA 1 MFUNGAJI MRISHO NGASSA
DAKIKA YA 20: SIMBA 0, YANGA 1
DAKIKA YA 35: HAMIS KIIZA ANAIPATIA YANGA BAO LA 2, SIMBA 0, YANGA 2
DAKIKA YA 47: HAMIS KIIZA ANAIFUNGIA YANGA BAO LA 3, SIMBA 0, YANGA 3
HALF TIME: SIMBA 0, YANGA 3
DAKIKA YA 53: BETRAM MWOMBEKI ANAIPATIA SIMBA BAO LA 1, SIMBA 1, YANGA 3
DAKIKA YA 57: JOSEPH OWINO ANAIPATIA SIMBA BAO LA 2, SIMBA 2 - YANGA 3
SIMBAAAAAA...DAKIKA YA 83 GILBERT KAZE ANAIPATIA SIMBA BAO LA 3, SIMBA 3, YANGA 3
DAKIKA YA 90: SIMBA 3, YANGA 3 NA MPIRA UMEKWISHA

No comments:

Post a Comment