Pages

Saturday, 26 October 2013

HABARI ZA UMBEYA! DIAMOND AKIRI KURUDIANA NA WEMA , HAKUNA CHA MOVIE WALA NINI, ANAAMINI NDOTO YAKE YA KUPATA MTOTO NA BEUTIFUL ONYINYE (WEMA SEPETU) ITATIMIA.

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja
MKALI wa songi linalotamba runingani na redioni ndani na nje ya Bongo la Number One, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ amefunguka na kuanika siri tano za kurudiana na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
Wiki mbili zilizopita, wakiwa Hong Kong, China, vyombo vya habari na mitandao ya kijamii viliripoti kurudiana kwa Diamond na Wema waliomwagana takriban mwaka mmoja uliopita ambapo staa huyo wa Bongo Fleva aliibuka na kukanusha vikali akidai kuwa picha zinazomwonesha yuko na Wema ni za Filamu ya Temptations.

No comments:

Post a Comment