Pages

Sunday, 20 October 2013

ANATAFUTA MCHUMBA HAYA MASINGO LADY MPOOO!

 
 
 
NATAFUTA RAFIKI WA KIKE (MCHUMBA) , ALIYE SERIOUS.
Mimi ni kijana mvulana, wa kitanzania kutoka mkoa wa mbeya.
Nipo serious katika swala hili. Natafuta rafiki wa kike kwa urafiki utakaoishia kwenye uchumba kisha ndoa kama tukiridhiana na kukubaliana . Nahitaji mtu ambaye pia yupo serious katika swala hili vinginevyo kama haupo serious kaa pembeni maana sipendi kupotezeana muda.
WASIFU WANGU:
UMRI WANGU: miaka 28
DINI YANGU: mkristo
SINA MTOTO, SIJAWAHI KUOA.
MWONEKANO WANGU: Mimi ni mweusi kiasi, mwembamba, sio mfupi sana wala sio mrefu. Mambo mengine kuhusu mimi nitamweleza muhusika baada ya kuwasiliana.

WASIFU WA MSICHANA NINAYEMUHITAJI:
UMRI WAKE: asizidi miaka 23
DINI YAKE: mkristo
ELIMU YAKE: yoyote
KAZI YAKE: mwenye kazi au asiye na kazi.
MWONEKANO WAKE: awe na umbo la wastani (asiwe mnene sana wala mfupi sana).
MUHIMU ZAIDI: awe mweupe na awe asili yake mikoa kati ya Dar, Moro, Iringa au mbeya. Awe tayari kuishi mkoa wowote hapa Tanzania.

ASIWE NA MTOTO, NA AWE HAJAWAHI KUOLEWA AU KUISHI NA MUME.
Kwa mwenye wasifu huo niliotaja tu ndio anitafute kwa namba 0752827646 au 0713908229 au 0656380928.

No comments:

Post a Comment