Thursday 25 January 2018

Mwanafunzi abakwa na kuuawa akienda shule

MWANAFUNZI wa kike mwenye umri wa miaka 14 ameuawa kikatili baada ya kubakwa kwa zamu na mwendesha pikipiki maarufu ‘bodaboda’ kisha akachomwa kisu ubavuni na sehemu zake za siri kunyofolewa wakati akienda shule akiwa amefuatana na mdogo wake wa kiume mwenye umri wa miaka 11.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 25 JANUARI 2018


Wednesday 24 January 2018

Idris Mwana wa Sultan




Coming Soon!


Alikuwa Malkia wa Muziki Afrika!

Rais wa Rwanda Kagame ndiye kiongozi wa pekee Afrika atakayekutana na Donald Trump Davos

Rais Trump alipokutana na baadhi ya viongozi wa bara Afrika katika mkutano wa umoja wa mataifa
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRais Trump alipokutana na baadhi ya viongozi wa bara Afrika katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mwaka jana
Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame katika mkutano wa masuala ya kiuchumi World Economic Forum WEF unaofanyika mjini Davos , Uswizi.

Watoto 15 wenye matatizo ya moyo wafanyiwa upasuaji wa bila kufungua kifua


Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel na Kituo cha Moyo cha Berlin (Berlin Heart Center) cha nchini Ujerumani wamefanya upasuaji wa bila kufungua kifua (Catheterization) kwa watoto 15 wenye matatizo ya Moyo.

Plus size wedding dresses!

MARY J. BLIGE: FROM HEARTBREAK AND HOMELESS TO HISTORY MAKER!

Mary J. Blige is the true definition of the term “glow up.” She exemplifies having to go through the bitterness of life to enjoy the sweet.

"Asanteni mliotuma video, tumewakamata madereva"

MAGAZETI YA LEO JUMATANO 24 JANUARI 2018


Monday 22 January 2018

Vichwa vya Habari Magazetini leo 22 Januari 2018


Salum Njwete “SCORPION” ahukumiwa Jela miaka 7

January 22, 2018 kwenye Mahakama ya Wilaya ya Ilala imetolewa hukumu ya Salum Njwete maarufu kama ‘SCORPION’ ambae amehukumiwa miaka 7 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumjeruhi na kumsababishia upofu Said Mrisho.

Sunday 21 January 2018

Misuko ya Nywele kwa Watoto

Baba na Mwana!

Ray Kigosi na Mtoto wake

BINTI MWENYE UVIMBE BEGANI AFARIKI DUNIA AKITIBIWA

Maria Amrima Sandalu (17) mkazi wa Mtwara, aliyekuwa na uvimbe begani amefariki dunia akipatiwa matibabu Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI). Mariam ambaye ni mkazi wa Masasi mkoani Mtwara, amefariki dunia leo alfajiri akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI).

Coctail Dresses!


 

Ndoa ndoano!


Ameandika Joyce Kiria kwenye ukurasa wake wa Instagram..👇
Sikutegemea kama ipo siku kwa mkono wako ungeunyanya KUNIPIGA @kilewo2020mwanga 😭😭😭😭 *
Ukasahau kabisa! Ukasahau yooooote.. nimeharibu career yangu kupigania ndoto yako kwa kugawa watu wangu kwenye biashara zangu, nimepoteza ndugu jamaa na marafiki, umeniachia nimebeba mzigo wa familia kwa muda wote... Malipo yako ni KUNIPIGA/ KUNIDHALILISHA/ KUNITOA MACHOZI😭😭😭

Kitenge Jumpsuits

Serikali yazifutia usajili meli 2 zilizonaswa na dawa za kulevya

BAADA ya agizo la Rais John Magufuli la kusisitiza marufuku ya michango shuleni, wakuu wa mikoa na wilaya nchini wamecharuka na kuwataka maofi sa wa elimu kuchukua hatua dhidi ya walimu walioukiuka agizo hilo.

Khadija Kopa: Wanaume Wa Siku Hizi Wanapenda Sana Mijimama.

This Is How You Could Save A Choking Baby In Seconds

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!