Friday, 28 September 2018

Mwanafunzi apandishwa kizimbani

Image may contain: one or more people and people standing
Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Sekondari ya Mbezi (19), Juma Idd amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya wilaya ya Kinondoni, kwa tuhuma za kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la tano mwenye miaka 14.
Binti huyo aliyepewa ujauzito alichukuliwa kama mfanyakazi wa ndani, lakini bosi wake aliamua kumpeleka shule kwa kumuona bado alikuwa mdogo,

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!