Vazi la saree ni vazi la asili ya kihindi, Vazi ambalo huvaliwa sana hasa kama vazi lasmi la Harusi kwa Bi harusi. Umaarufu wa vazi hili umezidi kudumu kwa miaka mingi na kuwavutia wengi hata wale wasio na asili hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment