Sipati picha huyu mwanamke aliyeolewa na huyu mwanaume anavyonyanyaswa!! yaani huyo mke hana Uhuru maskini ya Mungu kisa Ndoa! yaani mwanamke maisha yako anakuamulia mume hata uvae nini...
Haya mambo ya kujifanya ninyi ni watu wema kwa jamii ilihali mwajijua mumeoza kwa matendo yenu huko kizani hatari tupu... Aisee am very much Lucky my husband hana huo mfumo kandamizi namna hii...anawaza mambo makubwa ya nchi siyo mavazi ya mkewe tena mwanamke shupavu and a very strong one!!! hahaha wafwaaaaa....
Well, dear ladies, mie niliwachana na hayo maisha ya kitumwa ya Wanaume siku mingi sana, hahahaha yaani ukikubali kuishi kwa kufuata atakacho mume utaumia sana na utakufa kabla ya siku zako am teling u....Wanawake tokeni vifungoni aisee, just live your life and do wateva u wana do, and be whoever u wana become... Chaaaaa.... kumbuka unaishi once and maisha ni yako siyo ya mume so wacha kuishi maisha ya mumeo! 2016ItsPowerJstBeYou #GiveYourSelfPower #LiveYourSuperLife
Ngachokaaaaa
No comments:
Post a Comment