Sunday 18 November 2018

Nendeni salama comrades

 Jimboni Kivu Kaskazini nchini Congo tukio la kuaga miili ya walinda amani saba wa Umoja wa Mataifa waliouwa wakati wa makabiliano na waasi wa kikundi cha ADF. Mlinda amani (1) anatoka Tanzania🇹🇿 na (6) wanatoka Malawi🇲🇼 
PICHA: Monusco/Allain Coulibaly




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!