Tuesday 11 September 2018

Hapa na pale!


Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga kama masihara hivi!*
*19+87=*
*219-45=*
*12×34=*
*59÷7=*
°°°°
*Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, Utajuta:*


*Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda chato.Land cruiser VX linatoka chato saa nne kwenda Dar.*
*Ikiwa spidi ya ndege ni 350 km/saa na ya Land cruiser VX ni km 220/saa, na Umbali wa chato -Dar ni km 900, Zitakutana saa ngapi?*
*Sa mi ntajuaje?!*🏃‍♂🏃‍♂
*Na hizi tochi zote Barabarani, na Matuta, Kuchimba dawa, kunywa chai !!!!*
😅😅😅😅🙆🏿‍♂

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!