Saturday 4 August 2018

BREAKING: Waziri Kigwangalla apata ajali, ‘Mwandishi afariki’

Alfajiri ya Leo August 4, 2018 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangallaamepata ajali ya gari akitokea Arusha kabla ya kufika katika eneo la Magugu na hali yake ni mbaya nasubiriwa Helicopter ili wamhamishie katika hospitali nyingine.

Mbunge wa Mbulu Vijijini Flaitey Masai amesema Mtu mmoja inayedaiwa kuwa ni Mwandishi wake wa Habari amefariki.
“Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla amepata ajali akitokea Arusha hali yake ni mbaya na tunasubiri Helicopter ili tumhamishe Hospitali na Mtu mmoja ambaye inadaiwa ni Mwandishi wake wa habari amefariki” amesema Mbunge wa Mbulu Vijijini Flaitey Masai
HABARI HII KWA HISANI YA MillardAyo.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!