Tuesday, 5 June 2018

Mchungaji afariki kwa kusombwa na maji akijaribu kutembea juu ya maji kama Yesu

Image may contain: one or more people, ocean, water, outdoor and nature

Mchungaji Frank Kabele (35) kutoka Nigeria, asombwa na maji baharini na kufariki alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu.- Aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani, ilikuwa vigumu kwa waumini wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi na kufariki dunia.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!