Sunday 27 May 2018

Vyote ntaweza ila hapo kwenye kulala kabla ya malkiaa watanisameheee!!


Meghan Markle baada ya kuolewa na mjukuu wa Queen Elizabeth, haruhusiwi kuwa na acount za mitandao ya kijami, kulala kabla ya malkia, kusafiri bila nguo nyeusi ya msiba, kupiga selfie na kuendelea na kazi yake ya uigizaji.
Je, wewe ungekubali kuacha yale uliyoyazoea ili kuoa/kuolewa na mwana mfalme!? Toa maoni

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!