Friday, 20 April 2018

Vazi la asili la Kihindi (saree)


Vazi la saree  ni vazi la asili ya kihindi, Vazi ambalo huvaliwa sana hasa kama vazi lasmi la Harusi kwa Bi harusi. Umaarufu wa vazi hili umezidi kudumu kwa miaka mingi na kuwavutia wengi hata wale wasio na asili hiyo.No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!