Friday, 20 April 2018

Utaratibu na ratiba ya kumuaga Marehemu Leyla Mtumwa

Image result for marehemu leyla mtumwa
Taratibu na Ratiba ya Kumuaga Mpendwa wetu Marehemu Leyla Mtumwa kwa mwili wake kwenda Tanzania.
Kwa niaba ya familia, Jamaa na marafiki wa marehemu Leyla , tunapenda kumshukuru mwenyezi mungu pamoja na wote mlioshiriki kwa hali na mali katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mpendwa wetu. Aidha Sala ya jeneza la Marehemu itaswaliwa Jumamosi Tarehe21 April 2018.
Mahala: ni London Muslim Centre/East London Mosque 82-92 Whitechapel Road LondonE11JQ.
Saa saba na nusu baada tu ya swala ya Adhuhuri.

Tunawaombeni tujumuike pamoja kumuaga na kumuombea Mpendwa wetu.

Kwa mawasiliano zaidi. 
Mr. Maliki 07787449340
Mr. Said John 07957542863
Enzy.07956483352

Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!