Saturday 7 April 2018

Rais Magufuli amewapa POLISI, BILIONI 10 na ametangaza Ajira mpya 1,500

Leo April 7, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli akiwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid ameahidi kutoa BILIONI 10 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za Maaskari wa vyeo vya chini.

“Mimi nimeoa kambini, mke wangu ni mtoto wa Askari Polisi, kwahiyo maisha ya askari wa chini nayatambua, leo nitatoa bilioni 10 ili zikasaidie kujenga nyumba za maaskari na hizi nyumba ziwe za maaskari wa chini”– Rais Magufuli

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!