Thursday 19 April 2018

Ndoa ya Ali Kiba Yafana!

>>>“Siku ya leo Ndio Siku Mama Yangu Na Baba Yangu walifunga Ndoa ALHAMDULILAH #KingKiba”
Leo April 19,2018 Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba ametoa siri kubwa kuhusu siku ya leo na kusema kuwa ni siku ambayo baba yake pamoja na mama yake walifunga pingu za maisha ambapo na yeye siku hii amefunga ndoa na mke wake Amina Khalef Ahmed Mombasa nchini Kenya.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!