Tuesday 17 April 2018

Maneno Kuntu!


Dogo Janja  
“Kuna watu wa aina mbili anayekupa hela ya kula na anayekupa kazi upate hela ya kula anaekupa hela ya kula hakutakii mema maisha ya mbeleni siku akikatisha huduma hio utataabika sana ili upate msingi wa kupata hela ya kula. Anayekupa kazi upate hela ya kula”

“Huyu anakupatia msingi mzuri wa maisha yako ya baadae ata asipokuepo hautapata shida ata ukianguka atakupa support sasa uchague upewe hela ama upewe kazi”

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!