Saturday 7 April 2018

Leo ni siku ya kumbukumbu ya Kifo cha Kanumba


Leo April 07, 2018 ni maadhimisho ya miaka sita tangu alipofariki msanii wa filamu Bongo, Steven Kanumba ambapo ibada ya kumuombea ilifanyika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Baadhi ya wasanii wamejitokeza katika siku hiyo muhimu, Mama Mzazi wa Kanumba pamoja na Paster Miyamba mmoja wa wasanii maarufu aliyeshiriki ibada hiyo.





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!