Saturday 7 April 2018

KUMBUKUMBU

Image may contain: food
 Aprili 7, 1994, mauaji ya Kimbari yaliyosababisha vifo vya watu takriban milioni 1, huku ikiacha historia mbaya kwa nchi ya Rwanda yalianza.
Wahanga wakubwa wa mauaji hayo walikuwa ni watu wa kabila la Tutsi, na baadhi ya wahutu waliokuwa wakiwaunga mkono Watutsi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!