Saturday, 7 April 2018

Dr. Slaa Kukabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme wa Sweden Aliekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ambae sasa ni Balozi wa Tanzania nchini Dr. Wilbroad Slaa Leo April 7,2018 amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Mfalme wa Sweden.

Dr. Slaa amekabidhi hati hizo kwa Mfalme Carl XVI Gustaf akiwa ameongozana na mkewe,Bi Josephine Mushumbusi 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!