Monday, 26 March 2018

Elimu haina mwisho!

"Hata sasa sisi katika nchi hii hufikiria elimu kuwa ni kitu ambacho unajifunza shuleni au mahali kama hapa, na kwamba Elimu ya Watu Wazima ni kujifunza kusoma na kuandika tu. 

Kwa yakini hii si kweli kabisa; kuna ukweli nusunusu tu ndani yake, maana kusema kweli kazi ya kujipatia elimu ni kitu kinachodumu wakati wote wa uhai wetu. Na Elimu ya Watu Wazima ni ile ambayo mtu huendelea kupata akiisha kufikia utu uzima."
- Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tarehe 15 Oktoba 1964.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!