Wednesday, 9 August 2017

Tajiri namba 1 wa dunia Bill Gates yuko Tanzania


Tajiri namba moja wa dunia Mmarekani Bill Gates ameitembelea tena Tanzania ambapo picha zake zimeanza kusambaa akiwa kwenye ziara Muheza Tanga ambako amekutana na Mbunge pamoja na wadau mbalimbali.
Picha ya Bill Gates akiwa na Wadau mbalimbali pamoja na Mbunge wa Muheza Balozi Adadi Rajabu

Naambiwa kwenye ziara hiyo ya Tanga Bill Gates alikua anafatilia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende na n.k na kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya.

Kwenye hii picha unaweza kumuona Bill Gates akiwa kwenye meza kuu na kufatilia kila kinachojiri


Picha zote kwa Hisani ya MillardAyo.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!