Wednesday, 12 July 2017

STAILI YA NYWELE FUPI!


Nywele fupi, ukipata saluni yenye wajuzi wakakukata vizuri kuendana na shepu ya uso wako, huwa zinapendeza sana na kukufanya uonekane mrembo zaidi, kuna saa ukisuka nywele ndefu hazipedezi sana, unakata nywele zako fupi kisha ongeza na manjonjo kama hayo juu nakwambia malkia wewe!No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!