Thursday 20 July 2017

Lulu- Happy Birthday Baba...!


  • elizabethmichaelofficialHappy Birthday Baba...!
    Asante Kwa Kuwa Baba Mlezi Kwa Miaka Yote Tangu Uliponijua.....Asante Kwa Kuwa Mtu Wa Kwanza Uliyekiona Na Kukiamini Kipaji Changu Na Kuhakikisha Hakiishii Kwenye Macho yako Tu....

  • Ninaweza Kusema Mpaka Hapa Nilipofika Kuna Mchango Wako Mkubwa sana...Mbali Na Wakati Wa Furaha Hujawahi Kuniacha Wala Kunikana Katika Shida Na Hata Aibu Zangu.....Sidhani Kama Kuna Kitu Naweza Kukulipa Wewe na Familia Yako Zaidi ya Kumuomba Mungu Aendelee Kuwatunza❤️Unapoongeza Mwaka Mwingine Mungu wangu Ninayemuamini Akakuongeze Katika Kila Eneo.....Afya,Uzima,Maarifa,Uchumi na Akakutane Na Haja Zoooote Za Moyo Wako.
    @drchenitz @drchenitz @drchenitz

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!