Thursday, 6 July 2017

Kitenge Maxi Dresses!


 
Kitenge Maxi ni mshono unakuongezea urembo, ukizingatia Maxi ndio mshono uliorudi kwa kasi katika ulimwengu wa fashion, Mshono wa Maxi ulitamba sana miaka ya nyuma,Miaka ya 70. Enzi hizo Maxi ilivaliwa kwa wanawake wa umri mbalimbali wazee kwa vijana,  Nimegundua kwamba Kitenge kinapendeza sana kushonwa katika mtindo wa Maxi.'

 
No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!