Thursday, 22 June 2017

Staili bomba za nywele kwa Biharusi

Pata idea ya upambwaji hasa wa nywele na Makeup siku ya Sherehe/ Harusi yako! Mara nyingi ni ngumu kujua unataka upambwe vipi na haswa kichwani kwenye suala zima la nywele, chungulia humu upate Idea itakayokunogesha, urembwe urembeke!! No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!